Wale mliokaribu wajuzeni wachezaji mchezo wa derby
kkutakuwa na red card ama penalty
Wacheze kwa adabu na heshima sana refa atakaekuwepo n kama amekuwa chambo mistake za kadi hatorembesha
Hali hii italeta sitonfahamu kwa dk kadhaa hata hivyo mpira utaendelea na kadhaa kuondoka na simanzi
Kila.la kheri
Dk pdidy