Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hawa vitukuu na virembwe vya vasco da gama vinasafiri kwa kutegemea mizimu ya babu yao msafiri vasco da gama
 
Nilitaman sana portugal watoke..Wanacheza npira wa ajabuajabu sana. Kombe la ujerumani au italy
 
Timu ambayo mpaka sasa haijashinda mechi ndani ya dk 90 ndio ipo Nusu fainali.

Inanikumbusha Ugiriki ya mwaka 2004, walishinda ubingwa kwa mbinu zaidi kuliko ufundi.
Portugal naona hawana mbinu ni kubahatishabahatisha tu. Timu ni vurugu tupu,kiungo na foward hamna kitu. Wanarukaruka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…