Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nimehisi ulimfananisha na huyuHaaaa
Angekosa ingetakiwa astaafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa nimehisi ulimfananisha na huyu
![]()
All the way up, wacha waisome nambaHahaaaa from best looser to last 16 to quarter final to semi finals #CR7 all the way up to the [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471]
Panama je?COPA AMERICA SIJAONA TIMU MBOVU
Hukuangalia basiCOPA AMERICA SIJAONA TIMU MBOVU
Hahaaaaa PNC 1 huwa anaandaa memes nyingi kabla ya mechi lakini zinamdodea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katakuwa katt ka PNC1 hako
Wataelewa tuAll the way up, wacha waisome namba
Hahaaa acha utani mkuuCOPA AMERICA SIJAONA TIMU MBOVU
Ata kuwa aliangalia kupitia Radio oneHahaaa acha utani mkuu
Portugal naona hawana mbinu ni kubahatishabahatisha tu. Timu ni vurugu tupu,kiungo na foward hamna kitu. Wanarukaruka tuTimu ambayo mpaka sasa haijashinda mechi ndani ya dk 90 ndio ipo Nusu fainali.
Inanikumbusha Ugiriki ya mwaka 2004, walishinda ubingwa kwa mbinu zaidi kuliko ufundi.
Hahaaa kabisa .... timu zinafungwa goli 7, 5, 4, 3 halafu eti hakuna timu mbovuAta kuwa aliangalia kupitia Radio one
[emoji125] [emoji100]
Hahaaa leofail [emoji119] [emoji119]Hahahaa
Ila ana nifurahisha huwa ana kimbia kama kaka ake bwana
Leofail Missi
Leo alianza kwa kasi sasa ka quit
Wana igana