WengerrrrrrrrBelgium kama Arsenal wachezaji wazuri lakini butu..
Belgium kama Arsenal wachezaji wazuri lakini butu..
Dakika zilizokwenda ni 76 na kuna dalili za Belgium kusawazisha goli.
Belgium wanarudi kwao,hivi hivi
PoleHumiliation
Ukisikia timu ina kikos cha dhahabu huwa ni nuks mara chache sna kufanikiwa
Kweli mdau cheki hata Argentina..Walivyokosa kombe kama masihara vileUkisikia timu ina kikos cha dhahabu huwa ni nuks mara chache sna kufanikiwa