Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Too bad Ramsey anaweza kukosa mechi ya SemiFinal Wales wakipita.
 
Waamuzi wa Slovenia wameridhika na uchezaji wa Wales.
 
Belgium wanarudi kwao,hivi hivi

Huwa inatokea timu zinakuja na plan na plan ikivurugwa basi,

Belgium walikuja na game plan ya kucheza kwa kasi saana kipindi cha kwanza na Wales nao wamekuja na game plan ya kumeza mashambulizi ya Belgium halafu kufanya counter attack.

Wales 3 Belgium 1
 
Back
Top Bottom