Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kiukweli italy hapo walipofikia wanaitaji pongezi wamepambana sana na njia waliopitia ni ngumu sana Antonnio Conte tunakusubili Darajani tuone uwezo wako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mjerumani mwenzangu sasa huo ni ukabila
Tumeshinda wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja tuuache..... ila Boateng naye huwa sijui anakumbwa na nini akiwa uwanjanj
 
Zaza kesho ataitwa na Godfather na kimlio atakisikia Italy huko vp kaingia bila kugusa Mpira kaenda Kuangua Embe tena lishaoza mtini Penalt kama anapiga Rugby Try.
Halafu mbaya aliingia sub ili apige penati .... Zaza he's real zwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…