Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aijua anacheza bolingo pale kumbe watu wapo robo fainali.. Kazingua mbayaaaaAisee watu mna maneno humu...,,Zaza the dancer mkali wa penalti lol!
mkuu heshima yako,Aisee watu mna maneno humu...,,Zaza the dancer mkali wa penalti lol!
hahaha anavyonengua kabla ya kupga penalt utadhani moze iyobo wa diamond. hahahaMzushi yule alijua yupo disco...
Hahaaaaaaaa...Anachekecha miguu sijui alihisi anaendesha baskeli pale. Sikumuelewa kwa kweli the zuzu zezezaza,mzee wa penalt za mwendo kasi
Angekua colombia watu washapiga risasi kitamboo..Saivi angekua anaitwa marehemu the zuzu zazahahaha anavyonengua kabla ya kupga penalt utadhani moze iyobo wa diamond. hahaha
Boateng nae sikumuelewa alikua anawaza nini pale..Alijua wanacheza volleyball sijui..
colombia the house of drug users. hahahaAngekua colombia watu washapiga risasi kitamboo..Saivi angekua anaitwa marehemu the zuzu zaza
Aijua anacheza bolingo pale kumbe watu wapo robo fainali.. Kazingua mbayaaaa
Timu ujerumanWewe una timu ngapi Mkuu!? Kuwa mkweli
Na kwelisorry kwa ozil ,penalt zinamkataa
ahsante pia,joined jf 2007,hahaaaaaaa... sijawaza hata kama kuna jf,but tuna have fun pamoja safi sanaAhsante sana Mkuu, ikurudie nawe pia.
Yaaan tungetoka huyu ndo angebebshwa zigo loote
japo nipo germany ila nimefrah bastan nae kakosa,maana ingekuwa nongwa kwa manNa kweli
Hahahajapo nipo germany ila nimefrah bastan nae kakosa,maana ingekuwa nongwa kwa man
Kabisa mkuu...Leo huendi kuruka majoka???😀😀😀😀😀Ashukuru Mungu wameshinda, maracist wa Ujerumani wangelala naye mbele kwa kumtusi na kumdhalilisha.