Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Hawana mchezo wale viumbe..Ukizingua tu risasi ya ubongo inakuhusucolombia the house of drug users. hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana mchezo wale viumbe..Ukizingua tu risasi ya ubongo inakuhusucolombia the house of drug users. hahaha
ahsante pia,joined jf 2007,hahaaaaaaa... sijawaza hata kama kuna jf,but tuna have fun pamoja safi sana
Kabisa mkuu...Leo huendi kuruka majoka???😀😀😀😀😀
Pa1 mdau..Leo nimeamua kupumzika Mkuu.
tuko pamojaPoa Mkuu endelea kufurahia hili jamvi mwanana.
Cha kusikitisha aliingizwa kwa shughuli hiyo nae katuonyesha uzwazwa wake.Hahaaaaaaaa...Anachekecha miguu sijui alihisi anaendesha baskeli pale. Sikumuelewa kwa kweli the zuzu zeze
nampenda bale,nampenda cr7Wales Vs Portugal mjini Lyon hapo Jumatano.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ilibidi watoke tu
Hatuwezi toka kizembe .... leo tuko na nguvu poa [emoji41] [emoji41] [emoji12] [emoji12][emoji1] [emoji1] [emoji1] ilibidi watoke tu
Kocha unamtoa Carasco anamuingiza Fellaini ?
Hiki kikosi cha Belgium wangekuwa na kocha mzuri wangefanya vizuri sana
So unashabikia France sababu Giroud anachezea France ? Naskia mmepata striker mpya toka JapanHahahaha unakubali wachezaji wa Manchester United ni majanga kila wanapokwenda sio. Uliona kibabu Shwaini sijui nani kilivyopaisha kwa Ujerumani jana? Subiri uone France watakavyoipiga Iceland. Giroud to score, Koscielny kucheza vizuri, Sagna(Arsenal affiliate) naye atakuwa ngangari.
Yeah tumepata chombo kipya kitakachotuuzia jezi Japan. Giroud atafunga goli leo wakati kina one time wonder Martial wakitoka kappa.So unashabikia France sababu Giroud anachezea France ? Naskia mmepata striker mpya toka Japan
Mwanao yuko juu..Angekua ulaya tajiri tayari.hahhaha Zaza leo kasababisha mpaka mwanangu kaota penalties za jana,kaota zaza alivyorukaruka kabla hajapiga penalti na kukosa juu.Mpaka mwanangu wa seven yrs anamzidi ZAZA ujanja wa kupiga penalt,mwanangu anasema ukiwa unapiga penalt usimpe muda goalkipa wa kukusoma,yaani ukisita tu basi,imekula kwako