Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaja na mbwembwe nyingi kumbe ni ZUZUZaza kaharibu kila kituuuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja tuuache..... ila Boateng naye huwa sijui anakumbwa na nini akiwa uwanjanj[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mjerumani mwenzangu sasa huo ni ukabila
Tumeshinda wote
Hahaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lol! penalty mwendo kasi shurti uruke ruke kama Chura
Hapo tume share hisia but hata penalty yake ilikuwa nzuri ali(naibu spika)ila jamani penalties za leo sijawahi ona,duh,im happy for Boateng maana hayo matusi angepata ni kiboko
Hahaaaaaa...Acha tu mdau.Kaja na mbwembwe nyingi kumbe ni ZUZU
Hahahahkuanzia sasa hivi nabaki neutral,inayoshinda ndo nakuwa upande wake,nisije pata ugonjwa wa moyo bure kuchagua team halafu isishinde.
Maana yake nini mamaaAddio Italia
Halafu mbaya aliingia sub ili apige penati .... Zaza he's real zwazwaZaza kesho ataitwa na Godfather na kimlio atakisikia Italy huko vp kaingia bila kugusa Mpira kaenda Kuangua Embe tena lishaoza mtini Penalt kama anapiga Rugby Try.
Mapepo yalimpanda...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja tuuache..... ila Boateng naye huwa sijui anakumbwa na nini akiwa uwanjanj
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja tuuache..... ila Boateng naye huwa sijui anakumbwa na nini akiwa uwanjanj
kwaheri ItaliaMaana yake nini mamaa
Aaaaah kumbeee..Kiluga gani hicho nianze kujifunza.kwaheri Italia
italianoAaaaah kumbeee..Kiluga gani hicho nianze kujifunza.
Itabidi unipige shuleitaliano
Alitaka kutuharibia mechi kabisaMapepo yalimpanda...