Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa block ile kweli ahamie NBA tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameruka kama defender wa Golden state Warriors
Kaharibu tayari..Angepata penati yake mambo yangeenda vizuri. Naona kwenye mitandao huko jina lake limepaa fasta. Ile sio kawaidaAlitaka kutuharibia mechi kabisa
Kwani Boateng alikosa penati mkuu [emoji15]Kaharibu tayari..Angepata penati yake mambo yangeenda vizuri. Naona kwenye mitandao huko jina lake limepaa fasta. Ile sio kawaida
Nasemea huyo zuzu mdau..Ni shidaa. Kawa kivutioKwani Boateng alikosa penati mkuu [emoji15]
sorry kwa ozil ,penalt zinamkataa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameruka kama defender wa Golden state Warriors
alisababisha ila kasahihisha makosa kwa kupiga penalt nzuriKwani Boateng alikosa penati mkuu [emoji15]
Mzushi yule alijua yupo disco...ZAZA, zeze, zizi, zozo, ........
Aaaaha ndugu yetu Zaza aliyepiga penalty kama Samatha [emoji2] [emoji2]Nasemea huyo zuzu mdau..Ni shidaa. Kawa kivutio
Huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kabisa yanZAZA, zeze, zizi, zozo, ........
nadhan hata ozil wasinge mwelewa kabsahahaha yaani leo KINEGA wa kijerumani ajulikanaye kama boateng, timu yake ingetolewa, mzigo wa lawama wote angevikwa yeye.
Zaza the dancer...πππAaaaha ndugu yetu Zaza aliyepiga penalty kama Samatha [emoji2] [emoji2]
hiiiiiiiiiiii ni shida sasa ,na aliingizwa kwa ajili ya penaltAaaaha ndugu yetu Zaza aliyepiga penalty kama Samatha [emoji2] [emoji2]
team messiZaza the dancer...πππ
Hahahah
Uwe una fuata nyayo za BAK
Ana timu zake nying nying
Sijakupata hapo..Nani team messiteam messi
Zaza the dancer...πππ
zaza,mzee wa penalt za mwendo kasiSijakupata hapo..Nani team messi