Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

hahaha yaani leo KINEGA wa kijerumani ajulikanaye kama boateng, timu yake ingetolewa, mzigo wa lawama wote angevikwa yeye.
 
ningemshangaa Neuer afungwe penalt zote 2 na mchezaji mmoja kwenye mechi hiyohiyo. jamaa kwenye penalt ya bonucci alikomaa sana
 
Back
Top Bottom