Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

hahaha anavyonengua kabla ya kupga penalt utadhani moze iyobo wa diamond. hahaha
Angekua colombia watu washapiga risasi kitamboo..Saivi angekua anaitwa marehemu the zuzu zaza
 
boateng aligeuka na kuwa kobe bryant kwa muda hahaha
 
jamani yatosha jama, mwacheni zuzu akale pizza na bagga huko millano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…