Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Dah! Sijui imekuwaje leo. Iceland wamezidiwa kila idara. Lakini big up sana taifa dogo Euro first time lakini mpaka quarter final. They should be proud of themselves.

Hawajazidiwa. Jua la Sahara limehamia France leo. It is a meltdown.
 
namuonea huruma france toka ameanza mashindano hajawahi kukutana na wababe wa soka ulaya hadi anaingia nusu sasa natoa tahadhari kwamba ya 2014 kule brazil yatajirudia tena pale france achana na germany kabisa.
 
France wapo fit so far.

Paul Pogba, Blaise Matuidi wanashughulika sehemu ya kiungo kupika mashambulizi huku wakisadiwa na Patrice Evra na Bacary Sagna.

Inapobidi Dimitry Payet na Antoine Griezmann nao wanashughulika kwa kiasi lakini wanafunga.

Iceland wasikate tamaa ndio mpira huo.
 
Reactions: BAK
Timu yangu France Leo ipo kwenye form nzuri hawa wanapigwa zaidi ya 5 na kuidhihirishia England kuwa hawajui mpira
 
[emoji460][emoji460][emoji460] 100 GOALS! [emoji460][emoji460][emoji460]
Antoine Griezmann scores the 100th goal at #EURO2016!

 
Walipofika panatosha..Wamejitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…