Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
France 4 Iceland 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Sijui imekuwaje leo. Iceland wamezidiwa kila idara. Lakini big up sana taifa dogo Euro first time lakini mpaka quarter final. They should be proud of themselves.
Wamejitahidi sana kufika hiyo hatua..Wakajipange kombe lijalo.Dah! Sijui imekuwaje leo. Iceland wamezidiwa kila idara. Lakini big up sana taifa dogo Euro first time lakini mpaka quarter final. They should be proud of themselves.
Hahahaha penati hazina mwenyeweHahaaaa ngoja tumpumzishe kama waitaliano wanavyoomba tusimseme
Hahaaaaaa..Wana kazi semi final
Walipofika panatosha..Wamejitahidi sanaFrance wapo fit so far.
Paul Pogba, Blaise Matuidi wanashughulika sehemu ya kiungo kupika mashambulizi huku wakisadiwa na Patrice Evra na Bacary Sagna.
Inapobidi Dimitry Payet na Antoine Griezmann nao wanashughulika kwa kiasi lakini wanafunga.
Iceland wasikate tamaa ndio mpira huo.
Ndo utamaduni wao,hawana sirname kwa mfano Godson magna yake mtoto wa God yaani God ni jina la baba yakeInawezekana nchi nzima wako hivyo..Itabidi kufwatilia
Lets hope so..No giving up till the final whistle.I know it won't be easy to defeat Germany, but with determination they (France) can achieve this difficult task.
England wachovu tu..Mpira wao wa mdomoni,uwanjani zeroTimu yangu France Leo ipo kwenye form nzuri hawa wanapigwa zaidi ya 5 na kuidhihirishia England kuwa hawajui mpira
Shukran kwa taarifa. Hiyo style yao imekaa vyemaNdo utamaduni wao,hawana sirname kwa mfano Godson magna yake mtoto wa God yaani God ni jina la baba yake
Kante ana yellow card mbiliHalafu ni tv ninayoangalia ama? Kante wapi leo?
Iceland wamefanya two changes hapo inabidi walioingia wamuulize kocha tunaenda kusawazisha au kuzuia tusipigwe nyingi?Ngoja nilale...hamna maajabu kama ya Liverpool ya kurudisha goli 4
Atakuwepo semi final..Kante ana yellow card mbili
Daaah angekuwepo leo ingekuwa poaKante ana yellow card mbili