Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Refa kawanyima penalty ya wazi kabisa ile
 
France v Germany sina wa kumchagua, hadi siku hiyo.
 
Ngome yao si nzuri wasiwasi wangu wasije wakatendwa na Wajerumani kama walivyowatenda Wabrazil 7-0
Hahaaaaa ujeruman na ile foward yao sio mchezo..Akataeshinda kati ya German na France ndo bingwa. Ila German ana nafasi kubwa
 
Griez amechoka sana kwa kweli,halafu tokea final ya UEFA champions ligi jamani

Wenyewe ndio wanapenda. Ukitaka kuamini muweke bench. Sio kama wachezaji wetu ukimuweka bench yeye anaona poa ilimradi mshahara wake upo kumbe kiwango ndio kinashuka.
 
Hahaaaaa ujeruman na ile foward yao sio mchezo..Akataeshinda kati ya German na France ndo bingwa. Ila German ana nafasi kubwa
Mario Gomez hatocheza kaumia,ila Germany ni stronger than France,ngonja tutaona hope France nao wataresist,kama jana German walivyoresist kwa Italy
 
Mario Gomez hatocheza kaumia,ila Germany ni stronger than France,ngonja tutaona hope France nao wataresist,kama jana German walivyoresist kwa Italy
Wana viungo wazuri sana German..Wanabadilisha mchezo mda wowote. Lakini mpira inategemea siku hiyo watu wameamkaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…