Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Griez amechoka sana kwa kweli,halafu tokea final ya UEFA champions ligi jamani

Wenyewe ndio wanapenda. Ukitaka kuamini muweke bench. Sio kama wachezaji wetu ukimuweka bench yeye anaona poa ilimradi mshahara wake upo kumbe kiwango ndio kinashuka.
 
Hahaaaaa ujeruman na ile foward yao sio mchezo..Akataeshinda kati ya German na France ndo bingwa. Ila German ana nafasi kubwa
Mario Gomez hatocheza kaumia,ila Germany ni stronger than France,ngonja tutaona hope France nao wataresist,kama jana German walivyoresist kwa Italy
 
Mario Gomez hatocheza kaumia,ila Germany ni stronger than France,ngonja tutaona hope France nao wataresist,kama jana German walivyoresist kwa Italy
Wana viungo wazuri sana German..Wanabadilisha mchezo mda wowote. Lakini mpira inategemea siku hiyo watu wameamkaje.
 
Back
Top Bottom