Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa France hapa naona wanazubaa hapa
Kweli kabisa,ingekuwa England kocha angeambiwa apunguze idadi ya weusiFrance wana blacks 8 wako uwanjani..Nawakubali sana,hawana ubaguzi kama wengine
Hawa France hapa naona wanazubaa hapa
Wamepiga gozi vizuri sanaIla leo France wamecheza vizuri sana,naona ile aibu ya kutolewa na team ndogo kama Iceland,tena nyumbani.
Hahaaaaa ujeruman na ile foward yao sio mchezo..Akataeshinda kati ya German na France ndo bingwa. Ila German ana nafasi kubwaNgome yao si nzuri wasiwasi wangu wasije wakatendwa na Wajerumani kama walivyowatenda Wabrazil 7-0
UK wabaguziKweli kabisa,ingekuwa England kocha angeambiwa apunguze idadi ya weusi
Griez amechoka sana kwa kweli,halafu tokea final ya UEFA champions ligi jamani
Atapumzika kidogo baada ya final game..Unamuonea huruma eehGriez amechoka sana kwa kweli,halafu tokea final ya UEFA champions ligi jamani
Griez amechoka sana kwa kweli,halafu tokea final ya UEFA champions ligi jamani
Karibu GermanyFrance v Germany sina wa kumchagua, hadi siku hiyo.
Mario Gomez hatocheza kaumia,ila Germany ni stronger than France,ngonja tutaona hope France nao wataresist,kama jana German walivyoresist kwa ItalyHahaaaaa ujeruman na ile foward yao sio mchezo..Akataeshinda kati ya German na France ndo bingwa. Ila German ana nafasi kubwa
Wana viungo wazuri sana German..Wanabadilisha mchezo mda wowote. Lakini mpira inategemea siku hiyo watu wameamkaje.Mario Gomez hatocheza kaumia,ila Germany ni stronger than France,ngonja tutaona hope France nao wataresist,kama jana German walivyoresist kwa Italy