Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mkuu, Romania ni nchi maskini sana haina uwezo mkubwa wa kukuza vipaji vya mpira kama wa nchi za Germany au Spain.

Mkuu nawajua hao, wamepewa uanachama wa EU na wenzao Ukraine, Bulgaria na Poland siku hizi mpaka vibarua vya kubeba mabox vimekuwa tabu. Wamekaba section zote wana njaa kuliko sisi waafrika. Yaani tabu Tu hao watu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ao kweli maskini
 
Mkuu nawajua hao, wamepewa uanachama wa EU na wenzao Ukraine, Bulgaria na Poland siku hizi mpaka vibarua vya kubeba mabox vimekuwa tabu. Wamekaba section zote wana njaa kuliko sisi waafrika. Yaani tabu Tu hao watu

Yaani mpaka pale UK kazi zote za boksi wamejaa wao na siku hizi kuna agency zao kabisa zinawachukua wao tu.

Ndio maana hii makitu imewaudhi sana waingereza na wanatishia kutoka EU.

Anyway tuache siasa kwenye hili jukwaa tusije kuharibu.

Ila nilitaka kusema kwamba ukiwaona wachezaji kama Mario Gotze na wale wa Spain ni products special kutoka kwenye academies ambazo zina kila facility unayoifahamu.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] England hiii ya sasa haa haa has usnivunje mbv mkuu n sawa na kuitabiria arsenal wanatwa UEFA[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3] [emoji3] Lakn Arsenal Next Season Wanakuja Vizuri Mkuu Coz Baada Ya Kumaliza Madeni Na Kila Kitu Kukaa Sawa Msimu Ujao Ndio Wanatakiwa Wafanye Mambo.

Wenger Alisema Wakat Anajenga Ule Uwanja.

1. Watengeneze Wachezaji Na Kuwauza Wapunguze Madeni. Club Iwe Huru.

2. Wajenge Uwanja.

3. Club Hata Isipochukuwa Ndoo Lakn Iingue UEFA.

4. 2017/18 Ndio Msimu Ambao Wanaingia Kwa Ushindani Maana Hawatabana Matumizi Kama Misimu Ilipta Coz Kila Kitu Kipo Sawa.

Alengo Yanetimia Mkuu So Ngoja Tuwaone Ganaz Msimu Ujao.

EURO.
Zile Team Ambazo Zilikuwa Nzuri Kama Spain, German, Portugal Haziko Vizuri Hivyo Mkuu. Ukiangalia England Na Nethelands, France Ndizo Team Ambazo Sasa Naziona Ziko Poa.

Ok Mtanange Ushaanza Ndugu, Nakujua We Tabia Yako Kuhama Hama Team Mpaka Fainali [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Uko serious kweli ?
England na Holland wako poa kwa kigezo kipi

Emirates ilifunguliwa mwaka 2006 leo ni 2016 miaka 10 imeshapita bado kisingizio ni kujenga uwanja
 
Mkuu sijui tuko pamoja kweli humu au sijui inakuwaje, maana hao the Nertherlands unaodai Wako sawa wameshindwa hata kuingiza timu kwenye zile fainali. Sasa wana timu nzuri kivipi? France kila mtu kaona ile game Yao sio ya kuchukua kombe. Rumania wameshindwa kujipanga Tu. Uingereza tunawajua Ni wazee wa promo Tu. Timu za Portugal, Ujerumani na Belgium ndio zenye kiwango we unawadharau? Spain pia, wana uwezo wa kubadilisha game uwanjani kwahiyo don't underestimate the tik tak.
 
Uko serious kweli ?
England na Holland wako poa kwa kigezo kipi

Emirates ilifunguliwa mwaka 2006 leo ni 2016 miaka 10 imeshapita bado kisingizio ni kujenga uwanja
Sasa Mkuu Yale Madeni Ulikuwa Huyaoni?!. Ulikuwa Mpango Wa Muda Mrefu Ule Wew Unafikiri Ilikiwa Safari Ya Kutoka Post Ti Tegeta?!.

Mimi Sio Ganaz Ni Man Utd Pure Lakn Nawasifu Arsenal Coz Usajili Wao Ni Wakaiwada Sana Miaka Yote Lakn Wanaingia UEFA Sio Wew Liverpul[emoji85] [emoji134] Japo Msimu Nanyi Mtakuja Poa Sana Co Klopp Kocha Mzuri.

Mkuu Nakwambia Kweli, England Nethelands, France, Wako Poa Sana.

Wew Unatupa Karata Yako Wapi?! Sema Mkuu Mbona [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…