Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #321
Mara nyingi viungo wakabaji michango yao hupuuzwa na kudharaulika...Kutokana na goli la payet huchelewi kusikia ni MOTM na kusahau kazi ya Kante kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi viungo wakabaji michango yao hupuuzwa na kudharaulika...Kutokana na goli la payet huchelewi kusikia ni MOTM na kusahau kazi ya Kante kabisa
Pogba leo game imemkataa kiainaFrance watapata sana shida kwa Uswis
Drop Pogba,awe anaanzia bench
Anza na Ngolo na Matuidi
kwenye flanks anza na Payet na Coeman
Mbele wasimame Griezman na Giroud
Pogba anatuyeyusha tu!
Kama evra bado yuko vzuri kwa kweliUkongwe nao unasaidia...
Man of the match
sana mkuu...sasa kesh0 tuone vituko vya timu ya malkia na jinsi ilivyojaa watoto!!Kama evra bado yuko vzuri kwa kweli
wazungu wanasema, Hard work pays!!Yaani hiyo ni without a doubt, amefanya seven assist uwanjani.
Huyu Payet alinyimwa nafasi ya kwenda kucheza WC mwaka 2014 kule Brazil hivyo hiyo ilimfanya awe mtu mwenye kutaka ku-prove something today.
Mkuu, Romania ni nchi maskini sana haina uwezo mkubwa wa kukuza vipaji vya mpira kama wa nchi za Germany au Spain.
Hahahahasana mkuu...sasa kesh0 tuone vituko vya timu ya malkia na jinsi ilivyojaa watoto!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu nawajua hao, wamepewa uanachama wa EU na wenzao Ukraine, Bulgaria na Poland siku hizi mpaka vibarua vya kubeba mabox vimekuwa tabu. Wamekaba section zote wana njaa kuliko sisi waafrika. Yaani tabu Tu hao watu
Mkuu nawajua hao, wamepewa uanachama wa EU na wenzao Ukraine, Bulgaria na Poland siku hizi mpaka vibarua vya kubeba mabox vimekuwa tabu. Wamekaba section zote wana njaa kuliko sisi waafrika. Yaani tabu Tu hao watu
Hao watageuzwa kitoweo na Bale kesho!!#teamSlovakia
[emoji3] [emoji3] Lakn Arsenal Next Season Wanakuja Vizuri Mkuu Coz Baada Ya Kumaliza Madeni Na Kila Kitu Kukaa Sawa Msimu Ujao Ndio Wanatakiwa Wafanye Mambo.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] England hiii ya sasa haa haa has usnivunje mbv mkuu n sawa na kuitabiria arsenal wanatwa UEFA[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ukongwe huwa unasaidia kwenye dressing room na ku-motivate team lakini sio kuwapa nafasi ya kikosi cha kwanza .Ndio maana pamoja na kuwa majeruhi lakini Ujerumani wamemwita Bastian lakini sitegemei kama ataanza kikosi cha kwanzaUkongwe nao unasaidia...
Uko serious kweli ?[emoji3] [emoji3] Lakn Arsenal Next Season Wanakuja Vizuri Mkuu Coz Baada Ya Kumaliza Madeni Na Kila Kitu Kukaa Sawa Msimu Ujao Ndio Wanatakiwa Wafanye Mambo.
Wenger Alisema Wakat Anajenga Ule Uwanja.
1. Watengeneze Wachezaji Na Kuwauza Wapunguze Madeni. Club Iwe Huru.
2. Wajenge Uwanja.
3. Club Hata Isipochukuwa Ndoo Lakn Iingue UEFA.
4. 2017/18 Ndio Msimu Ambao Wanaingia Kwa Ushindani Maana Hawatabana Matumizi Kama Misimu Ilipta Coz Kila Kitu Kipo Sawa.
Alengo Yanetimia Mkuu So Ngoja Tuwaone Ganaz Msimu Ujao.
EURO.
Zile Team Ambazo Zilikuwa Nzuri Kama Spain, German, Portugal Haziko Vizuri Hivyo Mkuu. Ukiangalia England Na Nethelands, France Ndizo Team Ambazo Sasa Naziona Ziko Poa.
Ok Mtanange Ushaanza Ndugu, Nakujua We Tabia Yako Kuhama Hama Team Mpaka Fainali [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] Lakn Arsenal Next Season Wanakuja Vizuri Mkuu Coz Baada Ya Kumaliza Madeni Na Kila Kitu Kukaa Sawa Msimu Ujao Ndio Wanatakiwa Wafanye Mambo.
Wenger Alisema Wakat Anajenga Ule Uwanja.
1. Watengeneze Wachezaji Na Kuwauza Wapunguze Madeni. Club Iwe Huru.
2. Wajenge Uwanja.
3. Club Hata Isipochukuwa Ndoo Lakn Iingue UEFA.
4. 2017/18 Ndio Msimu Ambao Wanaingia Kwa Ushindani Maana Hawatabana Matumizi Kama Misimu Ilipta Coz Kila Kitu Kipo Sawa.
Alengo Yanetimia Mkuu So Ngoja Tuwaone Ganaz Msimu Ujao.
EURO.
Zile Team Ambazo Zilikuwa Nzuri Kama Spain, German, Portugal Haziko Vizuri Hivyo Mkuu. Ukiangalia England Na Nethelands, France Ndizo Team Ambazo Sasa Naziona Ziko Poa.
Ok Mtanange Ushaanza Ndugu, Nakujua We Tabia Yako Kuhama Hama Team Mpaka Fainali [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa Mkuu Yale Madeni Ulikuwa Huyaoni?!. Ulikuwa Mpango Wa Muda Mrefu Ule Wew Unafikiri Ilikiwa Safari Ya Kutoka Post Ti Tegeta?!.Uko serious kweli ?
England na Holland wako poa kwa kigezo kipi
Emirates ilifunguliwa mwaka 2006 leo ni 2016 miaka 10 imeshapita bado kisingizio ni kujenga uwanja