Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Russia wameanza kucheza kwa huuru zaidi sasa, wana Imani.

Goli ni 0-0 na dakika inakwenda ya 68
 
Deli Ali kwa Rooooooney anapiga shuti -no kipa wa Russia anapangua! What a save!

Goli ni 0-0 dakika inakwenda ya 70
 
George Schenicov anapewa kadi ya njano kwa kumwangusha Deli Ali, ni mpira wa adhabu unapigwa na Eric Dieeeeeeeeeeeeeer 1-0 kwa England
 
England wamefunga sasa hivi!! come on boys come on!!!!!
 
Roman Shirokov anaingia na anatoka Alexandry Golovin
England wanafanya mabadiliko na anaingia Jack Wilshere badala ya Wayne Rooney.
 
Hii sub sijaielewa....

Hivi unamtoaje Rooney na kumuacha Sterring au Alli?

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…