Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

By any means,Costa ni mzuri kwa Aduriz,Nolito na Morata
Morata hata Juve haanzi any more
Umewahi kumuona Costa akicheza Spain ?Kocha anachagua wanaofit kwenye mfumo wake na lazima ukubali baada ya David Villa kustaafu Spain bado hawajapata mrithi wake,Mfumo wa Spain unawapa nafasi viungo kufunga zaidi(Mata,Silva,Fabregas,Alonso) nakumbuka Euro 2012 kuna game walicheza bila pure striker Fabregas akacheza kama false striker na wakawa wanafanya vizuri.
Mfumo wa Spain bora wacheze pungufu kuliko kucheza na Costa
 
Ireland vs Sweden. Dk 25. Still 0-0
Game mbovu ile mbaya. Mshindi hapa hatapatikana kwa ubora wa timu bali kwa makosa ya wapinzani
 
Mpaka sasa naona Euro inakosa umaliziaji mzuri ... magoli ya kuotea otea tu ... big score 2 goals [emoji35] [emoji35]
 
Buffon ni Makipa wachache ambao wamefanya wakina sie tuliokuwa makipa kupenda kuwa Kipa na sio Striker zamani ukiwa mchezaji mbovu unakuwa kipa mtaani au Striker ndio Hero wangu yy na Mwameja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…