Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Costa timu ya Spain haimfai kabisa bora angebaki BrazilKumuacha Costa and Torres was a big mistake
Moratta na Nolito na Aduriz HAWAWEZI kukupa Euro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Costa timu ya Spain haimfai kabisa bora angebaki BrazilKumuacha Costa and Torres was a big mistake
Moratta na Nolito na Aduriz HAWAWEZI kukupa Euro
Costa vs NolitoHaa, Costa kuachwa kwenye hii timu saws Tu.
By any means,Costa ni mzuri kwa Aduriz,Nolito na MorataCosta timu ya Spain haimfai kabisa bora angebaki Brazil
Umewahi kumuona Costa akicheza Spain ?Kocha anachagua wanaofit kwenye mfumo wake na lazima ukubali baada ya David Villa kustaafu Spain bado hawajapata mrithi wake,Mfumo wa Spain unawapa nafasi viungo kufunga zaidi(Mata,Silva,Fabregas,Alonso) nakumbuka Euro 2012 kuna game walicheza bila pure striker Fabregas akacheza kama false striker na wakawa wanafanya vizuri.By any means,Costa ni mzuri kwa Aduriz,Nolito na Morata
Morata hata Juve haanzi any more
HahahaMpaka sasa naona Euro inakosa umaliziaji mzuri ... magoli ya kuotea otea tu ... big score 2 goals [emoji35] [emoji35]
Defence zenyewe zinajichanganya ... strikers kufanya finishing wanashindwa kabisa hadi unaweza tamani uingieHahaha
Basi defense ziko vzuri
Ikishinda itakuwa ajabucome on Italy ForzaItalia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ikishinda itakuwa ajabu
kama hilo ndio waanza maajabu 1-0[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tulia hvo hvo uone maajabu