Tayari ameshafanya yakeNaona dalili za Bale kuwatungua hawa vuvuzela
Wapigwe tuuNa wapigwe tu mana hamna namna!!!
kweli Roy Hodgson sio manager kanisikiliza na still hatoshinda. kama alivyosikiliza Media.huyu Kane hii sio Spurs, Roy kwa namna Lallana anavyo close angeweka Rashford au Sturidge au Vardy.