Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kipa kafikiria nn? angekaa katikati Bale asingefunga Roy akiendelea kubaki na Sterling na Kane na Ali hawarudi weka Wrlshire,Vardy na Sturidge.
 
Ohoooo safari imewadiaa kwa watoto wa malkia
 
Wafungwe Tu maana hakuna namna (in Pinda's voice)
 
HT now, England akifungwa leo anakazi kubwa sana ya kumfunga mjukuu wa Putin, SLOVAKIA
 
Wales waangalie wasije kupigwa faini kama Russia. Maana malkia akipiga simu Tu kesi ishakuwa kubwa
 
Team inapangwa na media unategemea kuna mpira hapo poor england # must go
 
England wamecheza na watu 10 - Sterling!
huyu Kane hii sio Spurs, Roy kwa namna Lallana anavyo close angeweka Rashford au Sturidge au Vardy.
kweli Roy Hodgson sio manager kanisikiliza na still hatoshinda. kama alivyosikiliza Media.
 
Subiri wapigwe counter attack maana akili zao zipo kwenye kuchomoa goli Tu.
 
kuna kitu nimeona Ashley william ni Murngereza na anacheza kinyama ila England wasingemchagua angesubiri england ndio inaonyesha England wanachagua kwa Kelele za Media waliacha mchezaji Mzuri tu westham antonio football sio majina ni ujuzi.
 
Kiulayaulaya England ni sawa na Taifa Stars. Bora hata sisi , wao wana kila kitu
 
Hahahahahahaha....babu zetu wamekufa maskini..Mtoto anamvua nguo Baba yake mbele za watu
 
Sturidge na Vard change the game Roy Hudgson hajui football aliwaingiza baada maji kumfika kwenye shingo ila ni onside imemgonga Ashley William.wales wasogee
 
Back
Top Bottom