Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #961
iv draxler n bora sana kuliko reus had,wakamwacha reus
Hold up we just getting started
Watu wanasema sana Majina yetu ya Kiafrica magumu ila Haya Ya Poland unaweza Kuvunjika "Ulimi" ukawekewa hogo. Daktari lazima anapiga mcharazo.
....kuwafunga Wales waliokuwa wana defend dkk zote mmeshaanza kelele!
Hawa majirani mechi huwa ngumuNgoma inaenda dakika ya 75, Ujerumani 0 - 0 Poland. Mtu akupigwa kidude hapa achomoi
Hawa majirani mechi huwa ngumu
wacha tu wazae nao si wabaguzi Mungu anasababu zeke, Wazee wao wakiwa wabaguzi wakiona Wajukuu zao wamechanganya wenyewe wanatulia na kubadilika taratibu kwa kukubali matokeo.Mashemeji zetu hawa maana wajomba wengi wa kutoka Afrika wanapenda kuopoa watoto wa kipoland, sijui ubwete!
Sawa good luckkudadadeki na ndo tushaanza hivo......ushindi mwanzo mwisho........walete Slovakia hapa....tunachapa tu...
viva England...