Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Waarabu wamepagawa,yanaweza fika saba sasa,ila mechi ya Croatia na Spain itakuwa tamu sana,ila tatizo wanaweza wasicheze viwango ,maana watakuwa wote wameshafuzu
 
nakumbuka #worldcup ya 2002 brazil anamfunga #uturuki kwa shda goli la #ronaldo #dochi leo uturuki kawa nyanya #politica instability inawamaliza #galatasary #fenerbanche nazo zinapotea

Uturuki ya kipindi kile ilikuwa mashine...enzi za akina hassan shakur, walikua wanaisumbua mno Argentina,croatia,brazil nk
 
Mkuu umenikumbusha mbali mno hawa wachezaji walikuwa hatari sana
walikua wanajua wajibu wao bana #mansiz anawaua senegal ya akina #fadiga chini ya kocha mfaransa marehemu #Bruno Metsu weka mtu #umit davala sio akina #turan leo hakuna utaifa tena wamepata #pesa wakina wadogo sana
 
Back
Top Bottom