BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kesho namsubiri Ronaldo,maana mpaka sasa alishafunikwa
Kwani kisharudi from morocco?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho namsubiri Ronaldo,maana mpaka sasa alishafunikwa
Lakini haya mambo bana ni Teamwork mtu anang'aa kama kikosi chake kiko imara mambo ya kutegemea jina ni shida sanaKesho namsubiri Ronaldo,maana mpaka sasa alishafunikwa
Malkia ana kazi sana mpka arudishe enzi zake amesotaaHahaaa pole eva...Malkia hafiki mbali, labda kidogo france japo siwapendi..
hahhahahaha,alikwenda lini?kesho ngoja tuone kama atadhihirisha ubora wake,au kule Real anashine kwa sababu kazungukwa na ma star tuKwani kisharudi from morocco?
My dada Barcelona anabeba ishajulikana mbona kitambo tu
waarabu acha warudi kwao wakaendeleze Ramadhani
kule Real anashine maana kazungukwa na wachezaji bora tu wa duniaLakini haya mambo bana ni Teamwork mtu anang'aa kama kikosi chake kiko imara mambo ya kutegemea jina ni shida sana
hao washatoka,wanabaki kukamilisha ratiba tu,next week wanakwea pipa kurudi kwaoUturuki nawapenda sana lkn i know hawafiki mbali, kwa mchezo waliouonyesha hauridhishi kabisaa
Barca kids wanataka kutuharibia topic Tu, magoli wafunge Morata na Nolito utuambie Barcelona inaongoza. Give us a break from the crap.
Pagan kumbe na wewe upo humu? Sasa nyie mnae mmoja tu...tena difence Ramos😀😀 kazi yake kubwa ni kulinda lango la Barca wasifungwe..
hahhahahaha,alikwenda lini?kesho ngoja tuone kama atadhihirisha ubora wake,au kule Real anashine kwa sababu kazungukwa na ma star tu
kule Real anashine maana kazungukwa na wachezaji bora tu wa dunia
Victoire 😀shauri yako bana mi sipo..naona umeanza kuwachokoza akina Pagan na wenzie
Peleka boring opinions zako Kule kwenye special thread yenu. Huu Uzi Ni wa Mussolin5 kuhusu Uefa-Euro16 usitake kuharibu pozi na Messi Ronaldo bullshit. Tuondolee makuzi kabisa hapa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]