rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Katika mashindano haya nimependezwa na golikipa wa Iceland hadi sasa. Muda si mrefu tutamsikia katika ligi kubwa za Ulaya(endapo hayupo huko). Jamaa anaonekana yupo vizuri, positioning yupo poa akipata msasa wa hapa na pale hususani kutotema mipira anaweza kuwa mzuri kuliko kina Simon Mignolet(Liverpool). Anaweza kuwa back-up kipa wa timu kubwa za England kama Liverpool , Man City, Everton ..