Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

ClE7lZLWQAAs7qE.jpg
 
Watu wanasema sana Majina yetu ya Kiafrica magumu ila Haya Ya Poland unaweza Kuvunjika "Ulimi" ukawekewa hogo. Daktari lazima anapiga mcharazo.
 
Watu wanasema sana Majina yetu ya Kiafrica magumu ila Haya Ya Poland unaweza Kuvunjika "Ulimi" ukawekewa hogo. Daktari lazima anapiga mcharazo.

Mashemeji zetu hawa maana wajomba wengi wa kutoka Afrika wanapenda kuopoa watoto wa kipoland, sijui ubwete!
 
Ngoma inaenda dakika ya 75, Ujerumani 0 - 0 Poland. Mtu akupigwa kidude hapa achomoi
 
#watoto wa malkia bana vyombo vyao vya habari utadhani jamaa ndo wamebeba kombe...wale mashabiki wao leo vipi bado hawapga #vyombo nini??
 
Leo Poland tulikuwa tunamvua nguo Baba mbele za watu sema yule mpumbavu Milik ameharibu sherehe yetu...halafu kocha anamuingiza wonder boy kapustka jioni jua linazama...hila poa tumemaliza na mdingi
 
Mashemeji zetu hawa maana wajomba wengi wa kutoka Afrika wanapenda kuopoa watoto wa kipoland, sijui ubwete!
wacha tu wazae nao si wabaguzi Mungu anasababu zeke, Wazee wao wakiwa wabaguzi wakiona Wajukuu zao wamechanganya wenyewe wanatulia na kubadilika taratibu kwa kukubali matokeo.
 
Back
Top Bottom