Ronaldo alikuwa ameshapaniki,kwenye stuation kama hiyo hakutakiwa kupiga penaltRonaldo huwa hatakiwi kupiga penalty mara kibao huwa anawauza wenzake, na nilichoona kwa ureno hawana timu tishio, Kila mchezaji anacheza kivyake hawachezi kama timu, hata wakivuka hapa hawafiki mbali hawa
Kesho namsubiri Ronaldo,maana mpaka sasa alishafunikwa
Eti ronado kapiga hatrick leo?
Ronaldo alikuwa ameshapaniki,kwenye stuation kama hiyo hakutakiwa kupiga penalt
Hili group gumu,sijui itakuwaje,Hungary,iceland,austria na Portugal
Ni kweli,ila mpaka sasa hakuna mwenye uhakika kwa kusonga,wote wanahitaji kufight,maana kila team ina nafasi ya kusonga mbele,ndo maana nikasema group gumuSista ee hapo hakuna timu ngumu, portugal kapewa vibonde lkn kashindwa kutamba pamoja na jamaa yao kuwemoπ
Kwani wote wanapoint moja moja?KWENYE HILI GROUP WOTE DRAW
Ronaldo huwa ni wa kawaida sana kwenye timu ya taifaSista ee hapo hakuna timu ngumu, portugal kapewa vibonde lkn kashindwa kutamba pamoja na jamaa yao kuwemoπ