Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

unajipa Moyo,this time team kama italy sio vibonde,utaona cha moto


Naona safari ya wataliano imewadia. Walipigwa na Spain 2012 na safari hii wanapigwa tena. It will not be easy but Spanish team can create many chances and score goals. Kilichotokea Leo walishindwa kuconcetrate wakati Croatia was playing the game of their life.
 
Wako vizuri sana! Unajua wengi wanadharau sana timu za ulaya mashariki wakiamini soka lao liko chini kumbe la hasha! Kazi nzuri kwao wanastahili heshima sana!!
 
Mkuu sio kila siku ni ijumaa
 
Mi bado najiuliza WTF mpaka Ramos akapiga ile penalty? Kwanini asimwachie Morata anayefukuzia ufungaji Bora? Ule Ni ubinafsi na umeiponza timu nzima. Jamaa anapenda misifa Tu na ule ukapteni ndio hatusemi tena
 
Wako vizuri sana! Unajua wengi wanadharau sana timu za ulaya mashariki wakiamini soka lao liko chini kumbe la hasha! Kazi nzuri kwao wanastahili heshima sana!!
Vishoka wapo uzuri sana nadhani kutokana na umasikini wao wameamua kuwekeza penye michezo ukiangalia Poland nao hawapo vibaya sana.
 
Tafuta mechi yao ya mwisho waliocheza ilikuwa ya kirafiki, na Spain alikimbizwa na italy mwanzo mwisho. Spain alishukuru sana kuchomoa ili kuambulia sare ya 1-1
 
Goli la kizembe kabisa, huyu kipa sijui alikua anamuwaza nani tu.ukicheki umbali wote ule kashindwa kuupangua mpira
Mkuu sidhani kama uko sahihi kumlaumu de gea ukitizama lile goli kwa makini utaona kuna small deflection kwa pique iliyochangia kumpoteza maboya de gea!

Hata hivyo spain walihitaji kua punished kwa jinsi walivyoicheza mechi nzima.

Kulikua na lack of concentration, slow playing makosa ya kipuuzi na over confidence .
 
Huyu kipa wa Hungary kaenda age, halafu hii suruali yake ni ya kizamani kweli. Lakini anaonekana na confidence zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…