BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Hata Germany nae kama anasusua ingawa Leo ameshinda
Hafiki mbali huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Germany nae kama anasusua ingawa Leo ameshinda
Ile game na Ukraine wamshukuru kipaHafiki mbali huyo
Hata Germany nae kama anasusua ingawa Leo ameshinda
Ile game na Ukraine wamshukuru kipa
Nyingi sana. Ngoja tuone mwisho waoSaana kipa aliwaokoa ile game otherwise wangekula nyingi
Wamefurshi kuwakwepa Italy...Wanashangilia kama wamechukua kombe.
Na huyu De Gea nae bomu Tu huyu
unajipa Moyo,this time team kama italy sio vibonde,utaona cha moto
Wako vizuri sana! Unajua wengi wanadharau sana timu za ulaya mashariki wakiamini soka lao liko chini kumbe la hasha! Kazi nzuri kwao wanastahili heshima sana!!Croatiaaaaa
Mussolin5 ulinishangaa sana nilivyo ichagua Croatia kama ndiyo mabingwa wapya UEFA!Nakuambieni tena teams zote nilizichambua na kilicho mpata Spain leo kitawapata wengi
Croatia imeingia uwanjani ikiwapumsizha wachezaji wake 3 muhimu wa kikosi cha kwanza akiwepo Mandzukic,Modric,Brozovic na hata sup sub Damagoj Vida
Halafu akataka kumpa lawama PiqueGoli la kizembe kabisa, huyu kipa sijui alikua anamuwaza nani tu.ukicheki umbali wote ule kashindwa kuupangua mpira
Mkuu sio kila siku ni ijumaaNaona safari ya wataliano imewadia. Walipigwa na Spain 2012 na safari hii wanapigwa tena. It will not be easy but Spanish team can create many chances and score goals. Kilichotokea Leo walishindwa kuconcetrate wakati Croatia was playing the game of their life.
Halafu akataka kumpa lawama Pique
Vishoka wapo uzuri sana nadhani kutokana na umasikini wao wameamua kuwekeza penye michezo ukiangalia Poland nao hawapo vibaya sana.Wako vizuri sana! Unajua wengi wanadharau sana timu za ulaya mashariki wakiamini soka lao liko chini kumbe la hasha! Kazi nzuri kwao wanastahili heshima sana!!
Tafuta mechi yao ya mwisho waliocheza ilikuwa ya kirafiki, na Spain alikimbizwa na italy mwanzo mwisho. Spain alishukuru sana kuchomoa ili kuambulia sare ya 1-1Naona safari ya wataliano imewadia. Walipigwa na Spain 2012 na safari hii wanapigwa tena. It will not be easy but Spanish team can create many chances and score goals. Kilichotokea Leo walishindwa kuconcetrate wakati Croatia was playing the game of their life.
Mkuu sidhani kama uko sahihi kumlaumu de gea ukitizama lile goli kwa makini utaona kuna small deflection kwa pique iliyochangia kumpoteza maboya de gea!Goli la kizembe kabisa, huyu kipa sijui alikua anamuwaza nani tu.ukicheki umbali wote ule kashindwa kuupangua mpira