Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Leo hajafanya lamaana mi nime uchek ule mpira
Wake NIR wametolewa bas tuu ila walikaza kwel kwl
kubali kataa wajukuu wa ADOLF HITLER lazima waondoke na kombe
Kawa man of the match katka poor formBale ndio Man of The Match, kakimbiza sana na cross shot yake ndio iliyotoa goli. Ukisema Northen Ireland wametolewa basi tu nashindwa kukuelewa sasa wangeendelea vipi bila kufunga magoli?
EeehHuyu mfungo wa kikristu kamaliza mambo.
Bubu ataka kusema,Chile na Argentina wanacheza saa ngapi?Hata mimi nimefurahi Ureno kusonga mbeleNimefurahi sana Portugal kushinda.
Bubu ataka kusema,Chile na Argentina wanacheza saa ngapi?Hata mimi nimefurahi Ureno kusonga mbele
Kwa kweli walikuwa hawana sababu ya kutolewa na Ureno, ana squad nzuri, vijana wadogo, na wana depth kulko urenoHawa Croatia baadhi yao wanalia kama watoto.
Mkuu kumbe nawe umeona! Croatia walistshili huo ushindiKwa kweli walikuwa hawana sababu ya kutolewa na Ureno, ana squad nzuri, vijana wadogo, na wana depth kulko ureno
Mkuu kumbe nawe umeona! Croatia walistshili huo ushindiKwa kweli walikuwa hawana sababu ya kutolewa na Ureno, ana squad nzuri, vijana wadogo, na wana depth kulko ureno