Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Leo hajafanya lamaana mi nime uchek ule mpira

Wake NIR wametolewa bas tuu ila walikaza kwel kwl

Bale ndio Man of The Match, kakimbiza sana na cross shot yake ndio iliyotoa goli. Ukisema Northen Ireland wametolewa basi tu nashindwa kukuelewa sasa wangeendelea vipi bila kufunga magoli?
 
Bale ndio Man of The Match, kakimbiza sana na cross shot yake ndio iliyotoa goli. Ukisema Northen Ireland wametolewa basi tu nashindwa kukuelewa sasa wangeendelea vipi bila kufunga magoli?
Kawa man of the match katka poor form
Ba NIR bado wamejitahid kama uliangalia mechi uliona wao hata kufika golin wamefika sana kuliko wales

Labda hujachek mech bro
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ronaldo,Nani na Quaresma wanadhibitisha age is just a number,hahahaha wazee kwenye team yao ila ndo wameibeba team yao
 
Back
Top Bottom