....kombe la Spain; tena atalichukua kwa kuwapiga vigogo wote atakaokutana nao.
Italy: wazuri kwenye ulinzi tu,kutegemea counter attack umfunge spain anayemiliki mpira muda mwingi ni ngumu! (italy inaweza shinda kwenye penalties!).
Germany: wazuri, ila timu bado haijawa organised vizuri,Mario Gomez mbele akikosa supply ya mipira atakosa kazi!, timu ita- struggle!, Draxler kwenye mechi kubwa huwa ana kawaida ya kupotea.
France: wamesumbuliwa na Rep. of Ireland,licha ya kumiliki mpira muda mwingi bado wameshindwa kuzitumia nafasi walizopata,vipi wakicheza na Spain inayomiliki mpira muda mwingi?!
England: nothing special, wanasubiri kutolewa siku yoyote!.
Portugal: nothing special,wanasubiri kutoka!.
N.B. Spain wawe makini muda wote kwenye defence,wasiruhusu makosa km ya game ya Croatia,kombe la kwao 100%