Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Italy vs Spain ni sawa tu na fainali.

Halafu mshindi kati yao Italy/Spain anakutana tena na Ujerumani hii nayo ni kama fainali nyingine kabla ya fainali yenyewe.

Muhimu:Italy na Spain, Euros 2016, wana bahati mbaya...?
 
Kompany ni majeruhi?maana namuona hapa kama kaja kuwatia moyo tu,wabelge wenzake.
 
....kombe la Spain; tena atalichukua kwa kuwapiga vigogo wote atakaokutana nao.

Italy: wazuri kwenye ulinzi tu,kutegemea counter attack umfunge spain anayemiliki mpira muda mwingi ni ngumu! (italy inaweza shinda kwenye penalties!).

Germany: wazuri, ila timu bado haijawa organised vizuri,Mario Gomez mbele akikosa supply ya mipira atakosa kazi!, timu ita- struggle!, Draxler kwenye mechi kubwa huwa ana kawaida ya kupotea.

France: wamesumbuliwa na Rep. of Ireland,licha ya kumiliki mpira muda mwingi bado wameshindwa kuzitumia nafasi walizopata,vipi wakicheza na Spain inayomiliki mpira muda mwingi?!

England: nothing special, wanasubiri kutolewa siku yoyote!.

Portugal: nothing special,wanasubiri kutoka!.

N.B. Spain wawe makini muda wote kwenye defence,wasiruhusu makosa km ya game ya Croatia,kombe la kwao 100%
 
Hazard ana-dive kama anacheza kwenye swimming pool.
 
I see Hungarians wanachomoa kidude hapa maana wanajituma sana.
 
Eden Hazard

Creator and scorer.

Nafikiri anatuma ujumbe kwa PSG kwamba sasa yupo tayari kwa transfer.

Chelsea hawatakubali hiyo kitu.
 
Huyu Hazard leo ndio timu, naona hata De Bruyne kacheza dakika 30 za mwanzo sasa karelax. Na yule Lukaku alikuwa anauweka tu
 
Sasa huyu Fellain kafuata nini uwanjani na wig lake?
 
kwa mpira huu,Belgique wataingia final kutokea upande B,ila kombe hawatochukua,kombe litachukuliwa na France,Germany ,italy au spain
 
Back
Top Bottom