Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hao hao...bure kabisaUnawazungymzia kina brexit?
Jeremani hawana sanaa ya mpira wenyewe wazee wa kanuni ukitoka pale peleka pale piga cross wanakumaliza.Itakuwa fainali kabla ya fainali.Sasa wanakutana na wajukuu wa Hitler,nani zaidi,ngumu kutabiri
Wamejifanya ila watakujaPNC 1 na Mussolini sja jua wako wapi kwa sasa
Jidangaye tu. Tunashinda mapema sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] safari yenu watalii insignia leo
Mussolini Vs HitlerHahaha ma dictator wawil wa zaman
Italian jobGoli la pili kama alilopogwa belgium
Tupo mkuuvitukuu wa Hitler na Mussolini
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Wataliano safari imewakuta leo na mchezo wao wa kupaki bus na kutegemea counter attack.
HahahaWamejifanya ila watakuja
Wajukuu zangu leo hawajaniangusha.Wajukuu wa benisto mussolin hawafai roho ngumu hawatizami majina wametoa haki sawa kwa Spain na Belgium.
Italy anapita njia ngumu kweli ila anakomaa
Belgium
Sweden
Spain
Germany
Hili ni swali la kichochezi mkuu na unatutaka ubaya tu!!uyu #de rossi naye anataka kuwa katili kama #Gattuso infact timu yenye Mbinu bora/kali ndo imeishinda wao wamecheza sisi tu tumefunga...#kati ya Buffon na Kaseja nan ana umri mkubwa zaidi??
here i am. Wajukuu zangu hawajaniangushaPNC 1 na Mussolini sja jua wako wapi kwa sasa
Sasa mkuu mech ijayo vijana wetu wana kutana nextItalian job
Hahaha ushindi ujerumani LakiniMussolini Vs Hitler
Siku hiyo nitakuwa kwa wajina wangu!!
wachezaji wetu wajifunze mpira ni kujitunza na sio umri #buffon anaokoa michomo ya hatari balaa na bado ananyumbulika mbaya...ila wale mtu tatu wa italia pale nyuma ni shda sijui ndo cementi ya #Nyati...Hili ni swali la kichochezi mkuu na unatutaka ubaya tu!!
England tupo toa wasiwasi leo 3-1Mussolin5 kaja, PNC 1 nilimuona kule kwenye uzi wa messi kustaafu
Yaani nashindwa kujua siku hiyo niwe upande upi?Sasa mkuu mech ijayo vijana wetu wana kutana next
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wana nipa mawazo sana hapa