Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

wachezaji wetu wajifunze mpira ni kujitunza na sio umri #buffon anaokoa michomo ya hatari balaa na bado ananyumbulika mbaya...ila wale mtu tatu wa italia pale nyuma ni shda sijui ndo cementi ya #Nyati...
Buffon miaka 38
Barzagli miaka 35
Bonucci miaka 29
Chiellini miaka 31

Jumla miaka 133.
Kwahyo umri sii tatizo hata kidogo.
 
Mimi nipo mkuu, mmewaona Italy.

Niliwa-underrate kabla ya michuano kuanza kutokana na majeruhi ya Marchisio, Veratti na kukosekana kwa Team conductor, Andrea Pirlo.
Karibu tena. Leo chama langu lipo uwanjani sasa.

Italy wamenifurahisha sana leo
 
Hawa iceland wapo laki tatu tu kwao,ila wanawaonyesha adabu watu walio milioni 54 kwao,hahhahha ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
 
Refa anaanza kuwabeba BREXIT kids.. Giroud alifunga goli la kwanza la France kwa kugongana na kipa, haikuwa faulo.. Hapa Hart kagombania mpira na Iceland player ni faulo...
 
Back
Top Bottom