Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaEngland kama serikali ya Rais Wanzuki. Hujui kitakachotokea kesho.
USA wangeshamaliza hili game. Ingekuwa USA 4-1 Iceland. Yaani na kelele zenu mnatolewa kamasi na walima barafu, aibu kinoma mkuu.
Pole....kombe la Spain; tena atalichukua kwa kuwapiga vigogo wote atakaokutana nao.
Italy: wazuri kwenye ulinzi tu,kutegemea counter attack umfunge spain anayemiliki mpira muda mwingi ni ngumu! (italy inaweza shinda kwenye penalties!).
Germany: wazuri, ila timu bado haijawa organised vizuri,Mario Gomez mbele akikosa supply ya mipira atakosa kazi!, timu ita- struggle!, Draxler kwenye mechi kubwa huwa ana kawaida ya kupotea.
France: wamesumbuliwa na Rep. of Ireland,licha ya kumiliki mpira muda mwingi bado wameshindwa kuzitumia nafasi walizopata,vipi wakicheza na Spain inayomiliki mpira muda mwingi?!
England: nothing special, wanasubiri kutolewa siku yoyote!.
Portugal: nothing special,wanasubiri kutoka!.
N.B. Spain wawe makini muda wote kwenye defence,wasiruhusu makosa km ya game ya Croatia,kombe la kwao 100%
Huyo ndo mbaya wenu. Atawaokoaalikuwa amtoe sturidge ana red card soon
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Naona England inaweza ikatoka Europe kwa mara ya pili ndani ya wiki moja...!
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Hii balaa sasa
Nashukuru sana ndugu yangu maana[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Nakuombea ndugu yangu
Rubaman itabidi ukambembeleze Mshabiki wenu Piers Morgan!
simpendi kazi kusema weusi tu Twitter na Wenger.Jamaa nadhani alikimbia kama sio kukimbizwa toka USA. Sijamuona CNN muda mrefu.