Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tuu watu wa Arsenal watakuwa na kinyongo na England
Kane lazima awanyanyue watu vitini leo lol
Kumwekea dhamana Muingereza ni sawa na Kukutwa na bunduki utawala huu wa Magu.Hahaha
Awa wajukuu wa malkia nao wana muaibisha th nem si muda apa
Ushapigwa.Karibu tena. Leo chama langu lipo uwanjani sasa.
Italy wamenifurahisha sana leo
leo ni Davdi na Goliath
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Kumwekea dhamana Muingereza ni sawa na Kukutwa na bunduki utawala huu wa Magu.
Iceland wanapoteza sana mipira ama sivyo ingekuwa timu ya kuogopewa.
Iceland ni wazuri kuliko USA
Iceland wakishinda leo itabidi England ijiangalie sana...itakuwa inaelekea kubaya sana
Hii balaa sasaUshapigwa.