Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Naona England inaweza ikatoka Europe kwa mara ya pili ndani ya wiki moja...!
 
ni watoto wa malkia au mfalme?hawa jamaa wamekosa mtu wa kupiga killer pass/final pass watulie wacheze mpira wakiiga mpira wa #iceland wataangalia mpira kwenye skyports wakiwa majumban mwao...
 
....kombe la Spain; tena atalichukua kwa kuwapiga vigogo wote atakaokutana nao.

Italy: wazuri kwenye ulinzi tu,kutegemea counter attack umfunge spain anayemiliki mpira muda mwingi ni ngumu! (italy inaweza shinda kwenye penalties!).

Germany: wazuri, ila timu bado haijawa organised vizuri,Mario Gomez mbele akikosa supply ya mipira atakosa kazi!, timu ita- struggle!, Draxler kwenye mechi kubwa huwa ana kawaida ya kupotea.

France: wamesumbuliwa na Rep. of Ireland,licha ya kumiliki mpira muda mwingi bado wameshindwa kuzitumia nafasi walizopata,vipi wakicheza na Spain inayomiliki mpira muda mwingi?!

England: nothing special, wanasubiri kutolewa siku yoyote!.

Portugal: nothing special,wanasubiri kutoka!.

N.B. Spain wawe makini muda wote kwenye defence,wasiruhusu makosa km ya game ya Croatia,kombe la kwao 100%
Pole
 
Nategemea England watapita lakini wasipopita(kama navyoomba) itakuwa bonge la stori.
 
England ni timu pekee ktk michuano hii kuanzia goli kipa mpaka Msgambuliaji hadi wanaokaa benchi, Ni wachezaji wanaocheza ligi ya ndani.

Wachazaji wabatakiwa kujitambua sasa, watoke nje ya Nchi yao, waachane na kasumba ya kwamba hakuna ligi bora zaidi ya Nchi yao. Ukiangalia, hawa jamaa wanakosa uzoefu wa kuchanganikana na wachezaji wanaocheza ligi za nje ya nchi yao. Mfumo wa soka wanaotumia ni wa England pekee hakuna ladha tofauti, Hii mi tofauti na Nchi kama German, France, Belgium nk

Hebu waache ushamba hebu watoke nje

BACK TANGANYIKA
 
Iceland hawawezi kushinda bila kumiliki mpira. Wapo ovyoooo katika idara hii
 
Ule muda wa England kusakiziana mpira unafikia dk 70 ya kukimbia lawama utaona pasi za hospital za kusakiziana Soon.
 
Back
Top Bottom