Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #1,701
Buffon miaka 38wachezaji wetu wajifunze mpira ni kujitunza na sio umri #buffon anaokoa michomo ya hatari balaa na bado ananyumbulika mbaya...ila wale mtu tatu wa italia pale nyuma ni shda sijui ndo cementi ya #Nyati...
hahaa huyu kinachomkosti ni kupenda La masia, ukweli ni kwamba tik tak imefika mwisho.Sasa mussolin5 afadhali alichagua
Hata italy huyo mwingne kafa kote kote
Hahahahahaa huyu kinachomkosti ni kupenda La masia, ukweli ni kwamba tik tak imefika mwisho.
hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah
PNC 1 Hana jipya ryt now astaafu tu kama kaka ake
Ndio timu yangu iliobakia naona manake England wana Brexit hapa.Nitakuwa Italy...damu nzito
Karibu tena. Leo chama langu lipo uwanjani sasa.Mimi nipo mkuu, mmewaona Italy.
Niliwa-underrate kabla ya michuano kuanza kutokana na majeruhi ya Marchisio, Veratti na kukosekana kwa Team conductor, Andrea Pirlo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah
PNC 1 Hana jipya ryt now astaafu tu kama kaka ake
Spurs players are costing England....