I did not expect this results at all! WOW!
Kinda like CAVS vs Warriors huh?😀
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Nashukuru sana ndugu yangu maana
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Usiku mwema humu
Lakini Gigs ni mtu wa Wales kama ulimaanisha wachezaji wa England.nimewakumbuka kina Steve Gerald,Beckam ,Owen,Lampard,Ryan Gigs
nimewakumbuka kina Steve Gerald,Beckam ,Owen,Lampard,Ryan Gigs
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]As expected!
England are out!!
Ujerumani siji[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Njoo ujerumani hauna namba
Kama Arsenal vile, huwa bingwa hadi mwezi wa pili ndipo anapoteana.Nachowapendea England huwa wanadai watabeba kombe kabla ya mashindano kuanza. Baada ya mechi ya kwanza wanakuwa wameshatolewa mashindanoni.
nimewakumbuka kina Steve Gerald,Beckam ,Owen,Lampard,Ryan Gigs