Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

#Heaththrow airport wakatafute paccport kesho zipigwe muhuri...nani atawai kufka #spain au #england? jiji la #Paris litatulia sasa...russia kwao England kwa malkia..
 
Nilisema kwenye group walipita kizali tu, England wako kama ureno wanapita kimazabe zabe tu
 
Hivu jamani muda wa kubet bingwa wa michuano hii ushapita?

Naanza kunusa yale yaliyotokea pale England msimu ulioisha. Tafadhali kwa anayejua na anifundishe namna ya kubet kwani sijawahi kabisa kufanya hivyo

BACK TANGANYIKA
 
kama #England ya #lampard,scholes,jerald,terry,alan shearer,sol campel, rio ferdinard haijawai beba ndoo ii inaweza kubeba kweli...raia wote wa #Island wanajaza uwanja wa #Wembley na kupaki viti kama 50 ivi..byee england asante kwa kuja
 
This doesn't compute!

How in the hell Roy Hodgson is the highest paid coach in these Euros?
 
nimewakumbuka kina Steve Gerald,Beckam ,Owen,Lampard,Ryan Gigs

Ahaaa, Gigs siyo Muingland bhana yule Mu Wales ya kina Bale.

Sema hili likocha punguani kabisa, halijui lina chokifanya linakisia kisia halina mipango wala nini. Hebu angalia sub ya Rooney badala ya Sturrige. Angalia alivyomchelewesha Rashfod kuingia, angalia namna dogo alivyotetenesha dakika chache alizopata uwanjani.

Unajiuliza hili likocha liko timamu kweli?

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom