mie nafikiri wa Man United sababu wa LFC ndio alifunga kipindi kile kuibakisha timu then akatoa Pande la ka Penalt ila Smalling ndio dk zile kampasia mwamuzi dk za mwisho za kujidai tehteh Lawama tu tunarushiana, Ila kwa msemo wa Rubaman itakuwa ni Spurs pamoja na Captain Rooney so Roy Hodgson na Gary neville na Captain wako Rooney!Wachezaji wenu wa liverpool ndio wamefanya England itolewe
Mkuu utabiri wako umetimiaKituko, england ktk soka la ulaya ni timu kama Czech, ya kawaida!
Yaani engaland ambayo wameanza kusema na Wilshire na Walcott wawepo?
Ya kina Delle Ali, lallana, Stones, Barkley, Oxlain, Kane, Rooney??
No chance, hawafiki 1/4 final.
ha haha maajabu ya kutoka mapemaNdugu acha dharau basi. Mashindano haya lazima England waoneshe maajabu just wait and see. Hao Wilshire na Walcott wanapigwa panga tu
Spurs imeigharimu England!
Hamna timu nyiemimi naamini Roy ana akili sana kuweza kupambanua mambo....ili ushinde michuano yeyote mikubwa form ya wachezaji kwa wakati huo inamatter sana, huwezi kumpanga Walcott mbele ya Welbeck wakati Arsenal anawekwa bench na Welbeck kwa wakati huu. Huwezi kumpanga Rooney au Sterling mbele ya Jarmie Vardy au Harry Kane coz ndo watakuwa ndo kwanza wanatoka kwenye rehabilitation ya injury zao wakati una wachezaji ambao ni top 2 scorers kwenye EPL na wako kwenye form nzuri kabisa kwenye carrier zao
Hahahah
Sasa england msha toka hamia kwengne
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Sana aisee wako nyuma lakini wanacheza kwa mapozi utadhani wako mbele. Meneja wao Roy Hodgson dakika chache zilizopita katangaza kujiuzulu.
France hauko sawa ila hao wengne fureshi tuuBado nina France, Italy na Portugal lol!
angalau Taifa stars nimeiona kubeba KombeHivi wale washabiki wa england kama hukuwepo mwaka 1966
Uwa unashangilia england kwa sababu zipi!!?
Maana sja wahi kuona kitu chchte cha maana wamewahi fanya duniani apa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]angalau Taifa stars nimeiona kubeba Kombe
Tatizo wageni waliotawaliwa pia na UK hawana Vipaji kama Waliotawaliwa na France kengine kuna Media wanapangia Taifa timu, Nchi kama France nauhakika wangekuwa na Antonio wa Westham wangemchagua kwenye timu au Jarmaine Defoe wasingetizama sababu Sunderland ipo chini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh at least challenge cup anachukua
Ila wenzangu wa kwa malkia sjui shda yao nn hasa mpaka wana itafuta tabu ilipo
England wangejifunza kitu kimoja waache kuchukua Players kwa Majina na Kusikiliza Media wangeweka kama Kipa Hart,Walker au Clyne 2 na kati Smalling na Stone Kushoto Betrand pale Kulia Antonio wa Westham bila kutizama jina kati welshire na Dele Ali au yoyote kushito Raheem mbele Stu na Rashford then watoe uoga basi wampe timu Gareth Southgate anasema Ian Wright kasema hataki Gary Neville sababu ndio haohao. wanipe timu Mie.
Ahaaa, Gigs siyo Muingland bhana yule Mu Wales ya kina Bale.
Sema hili likocha punguani kabisa, halijui lina chokifanya linakisia kisia halina mipango wala nini. Hebu angalia sub ya Rooney badala ya Sturrige. Angalia alivyomchelewesha Rashfod kuingia, angalia namna dogo alivyotetenesha dakika chache alizopata uwanjani.
Unajiuliza hili likocha liko timamu kweli?
BACK TANGANYIKA
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Th name kaanza siku vizuriiiii
Na kamaliza vibaya na kwa aibu
Sana aisee wako nyuma lakini wanacheza kwa mapozi utadhani wako mbele. Meneja wao Roy Hodgson dakika chache zilizopita katangaza kujiuzulu.
Ahahaha... funny
Ahahahaa... kwa hiyo hao wa mwaka 1966 ndio walifanya uchaguzi mzuri sio?Hivi wale washabiki wa england kama hukuwepo mwaka 1966
Uwa unashangilia england kwa sababu zipi!!?
Maana sja wahi kuona kitu chchte cha maana wamewahi fanya duniani apa