mie nafikiri wa Man United sababu wa LFC ndio alifunga kipindi kile kuibakisha timu then akatoa Pande la ka Penalt ila Smalling ndio dk zile kampasia mwamuzi dk za mwisho za kujidai tehteh Lawama tu tunarushiana, Ila kwa msemo wa Rubaman itakuwa ni Spurs pamoja na Captain Rooney so Roy Hodgson na Gary neville na Captain wako Rooney!Wachezaji wenu wa liverpool ndio wamefanya England itolewe