Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Wachezaji wenu wa liverpool ndio wamefanya England itolewe
mie nafikiri wa Man United sababu wa LFC ndio alifunga kipindi kile kuibakisha timu then akatoa Pande la ka Penalt ila Smalling ndio dk zile kampasia mwamuzi dk za mwisho za kujidai tehteh Lawama tu tunarushiana, Ila kwa msemo wa Rubaman itakuwa ni Spurs pamoja na Captain Rooney so Roy Hodgson na Gary neville na Captain wako Rooney!
 
mimi naamini Roy ana akili sana kuweza kupambanua mambo....ili ushinde michuano yeyote mikubwa form ya wachezaji kwa wakati huo inamatter sana, huwezi kumpanga Walcott mbele ya Welbeck wakati Arsenal anawekwa bench na Welbeck kwa wakati huu. Huwezi kumpanga Rooney au Sterling mbele ya Jarmie Vardy au Harry Kane coz ndo watakuwa ndo kwanza wanatoka kwenye rehabilitation ya injury zao wakati una wachezaji ambao ni top 2 scorers kwenye EPL na wako kwenye form nzuri kabisa kwenye carrier zao
Hamna timu nyie
 
Sana aisee wako nyuma lakini wanacheza kwa mapozi utadhani wako mbele. Meneja wao Roy Hodgson dakika chache zilizopita katangaza kujiuzulu.
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi wale washabiki wa england kama hukuwepo mwaka 1966

Uwa unashangilia england kwa sababu zipi!!?

Maana sja wahi kuona kitu chchte cha maana wamewahi fanya duniani apa
angalau Taifa stars nimeiona kubeba Kombe
 
God Save the Queen! labda ikibadilishwa Save England yote Dua ndio zitaanza kusikilizwa.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    30.1 KB · Views: 22
angalau Taifa stars nimeiona kubeba Kombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eeeh at least challenge cup anachukua

Ila wenzangu wa kwa malkia sjui shda yao nn hasa mpaka wana itafuta tabu ilipo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eeeh at least challenge cup anachukua

Ila wenzangu wa kwa malkia sjui shda yao nn hasa mpaka wana itafuta tabu ilipo
Tatizo wageni waliotawaliwa pia na UK hawana Vipaji kama Waliotawaliwa na France kengine kuna Media wanapangia Taifa timu, Nchi kama France nauhakika wangekuwa na Antonio wa Westham wangemchagua kwenye timu au Jarmaine Defoe wasingetizama sababu Sunderland ipo chini.
 
England wangejifunza kitu kimoja waache kuchukua Players kwa Majina na Kusikiliza Media wangeweka kama Kipa Hart,Walker au Clyne 2 na kati Smalling na Stone Kushoto Betrand pale Kulia Antonio wa Westham bila kutizama jina kati welshire na Dele Ali au yoyote kushito Raheem mbele Stu na Rashford then watoe uoga basi wampe timu Gareth Southgate anasema Ian Wright kasema hataki Gary Neville sababu ndio haohao. wanipe timu Mie.

Wilshere alikwenda kufanya nini? Mtu hajacheza hata mechi 6 za ligi afu anachukuwa nafasi ya Drinkwater. Upuuzi mtupu.
 
Ahaaa, Gigs siyo Muingland bhana yule Mu Wales ya kina Bale.

Sema hili likocha punguani kabisa, halijui lina chokifanya linakisia kisia halina mipango wala nini. Hebu angalia sub ya Rooney badala ya Sturrige. Angalia alivyomchelewesha Rashfod kuingia, angalia namna dogo alivyotetenesha dakika chache alizopata uwanjani.

Unajiuliza hili likocha liko timamu kweli?

BACK TANGANYIKA
cec3f0bae1bf0eb26748f33900cb1c64.jpg
 
Hivi wale washabiki wa england kama hukuwepo mwaka 1966

Uwa unashangilia england kwa sababu zipi!!?

Maana sja wahi kuona kitu chchte cha maana wamewahi fanya duniani apa
Ahahahaa... kwa hiyo hao wa mwaka 1966 ndio walifanya uchaguzi mzuri sio?

Ila kitu kma mwaka 1994 walifika robo fainali ya world cup, hivyo hata hao walioshabikia mwaka huo hawakukosea saaana kuichagua hiyo tem. Kimavi kipo kwa hawa wa miaka hii timu mbovu na bado ina gundu.
 
Back
Top Bottom