Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Yaah kweli.. katika dunia hii timu tishio pekee kwa deutschers ni the Azzuri.

Germany hana historia ya kumtoa Italy hata kwenye mashindano ya ndondo, hata kwenye game za kirafiki ana ambuliaga droo tu.
Kwenye fainali ya WC mwaka 1982 hao wajerumani wakiwa chini ya huyo Franz Beckanbeur walichezea 3-1 tena italy wakiwa pungufu.

Kuna mtu mmoja anaitwa Paolo ross aliwafanyia kma alichowafanyia Ballotel mwaka 2012.
 
Hahahaha

Aaaah ila bado ni ngum sana kwa miaka ya karibun

1966 walivo chukua world cup app sawa
 
Mimi ni mtanzania mwenye Asili ya kijerumani

Lakin sijawahi kwenye maisga yangu kushuhudia ujerumani akimtoa Italy sijawahiii

Ila bado ntashabikia ujerumani
 
Mimi ni mtanzania mwenye Asili ya kijerumani

Lakin sijawahi kwenye maisga yangu kushuhudia ujerumani akimtoa Italy sijawahiii

Ila bado ntashabikia ujerumani
Na hitokaa itokee hivi karibuni

Kwa italy hii ya sasa hivi inaonekana kuwa bora kuliko hata ile ya wazee 2006 ambae ilimnyoosha mjeruman pale pale kwake 2-0.
wakati huo germany ya sasa hivi haiko imara sana kulinganisha na ilivyokuwa mwaka 2012 au hata 2014.

So mbabe amezidi kuwa imara wakati huo kibonde ndio ameongeza udhaifu, tutegemee historia ikijirudia tena mapemaa.
 
Nilisema kwenye group walipita kizali tu, England wako kama ureno wanapita kimazabe zabe tu
England huwa havuki Robo mbwembwe nyingi mpira hakuna Ureno wangekuwa na traika kama Wa England wasingefungwa kiurahisi
 
Tatizo kocha wa England kawauza kapanga kikosi cha kushindwa ili ndugu zake wa akina son son son wapite maana na yeye jina lake. Ni Roy HODSON.......Iceland wote akinaSON
 
Tatizo kocha wa England kawauza kapanga kikosi cha kushindwa ili ndugu zake wa akina son son son wapite maana na yeye jina lake. Ni Roy HODSON.......Iceland wote akinaSON
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shearah analalamika anadai wanajidanganya kwa kufikiri england ndo ligi bora
"We are blinded by the Premier League, we think it's the best in the world for talent, it's not. We are totally reliant for foreign players and managers for excitement. We are not as good as we think we are."
 
Mbona hata league yenyewe nayo haina kitu, media tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…