Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Yaah kweli.. katika dunia hii timu tishio pekee kwa deutschers ni the Azzuri.Ujerumani anamuogopa sana mtaliano maana mpaka yule Legendary wao sijui Franz Beckanbeur (sina uhakika na spelling) anasema bora wakutane na Spain kuliko Italy sasa sijui ni mind sets tu au la.
Lakini ukiangalia mwaka 2006 na 2012 Italy alichomfanyia Germany ilikuwa noma.
Germany hana historia ya kumtoa Italy hata kwenye mashindano ya ndondo, hata kwenye game za kirafiki ana ambuliaga droo tu.
Kwenye fainali ya WC mwaka 1982 hao wajerumani wakiwa chini ya huyo Franz Beckanbeur walichezea 3-1 tena italy wakiwa pungufu.
Kuna mtu mmoja anaitwa Paolo ross aliwafanyia kma alichowafanyia Ballotel mwaka 2012.