Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Huyu Kipa wa Ureno muoga za juu anashindwa Kunyaka? enzi zangu Magoli ya Mawe nadaka zile sio for The Camera, Uswazi inakuwa for The Ujikoo.
 
Ureno wanaonekana kuwa na bahati
Tangu mwanzo kwenye group. Akaja kwenye knockout stage akatembelea tena bahati, hii c timu ya kuifunga Croatia. Leo tena kama kawa wanatembelea upepo,. Usishangae wakafika fainali kwa mpira huu huu mbovu.

Kumbuka wakivuka hapa watakutana na wales au belgium chochote kinaweza tokea ukichukulia kuwa wanatembelea bahati
 
Wapoland wanadefend timu nzima, Leo kazi ipo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…